Year: 2024
Ukarabati wa Mv Magogoni kukamilika Desemba 2024
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa nchini ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya Bungeni jijini Dodoma…
Barabara za Kivule, Mpiji Magoe, Bonyokwa zatengewa fungu
Wizara ya Ujenzi katika mwaka wa fedha 2024/25, imetenga kiasi cha Sh bilioni 9.7 kwa ajili ya mradi wa kupunguza msongamano barabara za Dar es Salaam. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024/25…
Rais Mwinyi awaita wawekezaji wa Ufaransa
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi ametoa wito na kuwakaribisha wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuangalia fursa kuwekeza Zanzibar katika maeneo mbalimbali. Dk Mwinyi amesema hayo leo Mei 29,2024 katika Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty Zanzibar alipofungua mkutano wa majadiliano ya…
Wasanii wamshukuru Rais Dkt Samia kuwajumuisha ziara zake nje ya nchi
Na Magrethy Katengu, Jamhuri Media, Dar es Salaam WASANII wa Tasnia ya Filamu Tanzania (BONGO MOVIE) wanamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kauli yake ya kuanza kuwajumuisha Wasanii mbalimbali kwenye ziara zake rasmi…
Serikali yatoa bilioni 3.3 kujenga ofisi ya halmashauri Mbinga
Na Albano Midelo,Mbinga SERIKALI imetoa shilingi bilioni 3.3 kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Joseph Rwiza wakati anatoa taarifa ya mradi huo kwa…
Serikali kuwachukulia hatua kali vishoka wanaoshikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi. Bashungwa ameyasema hayo wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni…