JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mashabiki Simba wapata ajali, mmoja afariki

Mashabiki wa klabu ya Simba waliokuwa katika basi dogo la abiria aina ya Coaster wamepata ajali eneo la Vigwaza mkoani Pwani na mtu mmoja amefariki. Taarifa ya Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba imeeleza kuwa ajali hiyo imetokea alfajiri…

Watendaji kata, mitaa, maendeleo ya jamii wanolewa Kibaha

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mheshiniwa Mussa Ndomba amefungua Kikaokazi cha siku moja kilichowakutanisha Watendaji Kata,Mitaa,Wataalam wa Kilimo,Mifugo na Maafisa Maendeleo ya Jamii kilichofanyika jana Machi 28,2024 kwenye ukumbi wa Halmashauri kikiangazia utoaji wa…

Mufti Sheikh Zubeir kuzindua kitabu chake cha maadili mfungo Mosi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, anatarajia kuzindua rasmi kitabu chake ambacho kinahusu masuala mazima ya maadili, kitabia ndani ya jamii hususan kwa kundi la vijana, ifikapo mfungo Mosi. Aidha amewaasa watanzania kujenga tabia ya…

Mbunge Rweikiza awahakikishia wananchi kupata maji, ampa tano rais Samia

Na Bwanku M Bwanku, JamhuriMedia, Kagera Mbunge wa Jimbo la Bukoba Vijijini lililopo mkoani Kagera amewahakikishia wananchi wa kata ya Kemondo kwamba ndani ya mwezi mmoja ujao mradi wa maji Kemondo utakua umeanza kutoa maji na wananchi watapata huduma hiyo…

DAWASA waanza utekelezaji agizo la Rais Samia kwa kurejesha huduma bila faini

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa agizo la Waziri wa Maji, Jumaa Aweso la kuwarudishia huduma ya maji wateja waliositishiwa huduma kwa msamaha wa kutolipa…

PURA yapongezwa usimamizi wa miradi ya CSR

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi DIWANI wa Kata ya Songo Songo, Mkoani Lindi, Hassan Swalehe Yusuph ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa usimamizi bora wa Miradi ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) iliyofanywa na kampuni zinazozalisha…