Year: 2024
Mtuhumiwa wa Dawa za kulevya na Mauaji Arusha mbaroni
Na Mwandishi Jeshi la Polisi Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema mei 29, 2024 muda wa saa 08:22 mchana huko katika maeneo ya Elerai Jijini Arusha walifanikiwa kumkamata Peter Mwacha (18) dereva bajaji na mkazi wa Sombetini Jijini…
Bunge lapitisha bajeti Wizara ya Ujenzi kwa asilimia 100
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na ukamilishaji viwanja…
Mwonekano kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Ifakara
Muonekano wa Kituo cha kupokea Kupoza na kusambaza Umeme kilichohengwa wilayani Kilombero Ifakara kinatarajiwa kuzinduliwa kesho, Mei 31 na Dkt. Doto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati pamoja na Christine Grau, Balozi wa Umoja wa Ulaya. Kituo…
Wizara ya Maliasili na Utalii yapongezwa kwa onesho maalum la kutangaza vivutio vya utalii
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dodoma Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ubunifu wa kuandaa Maonesho maalumu ya kutangaza vivutio vya utalii yenye lengo la kuelimisha wabunge kuhusu masuala ya uhifadhi…