JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Rais mwenye umri mdogo zaidi Senegal aapishwa

Bassirou Diomaye Faye, rais wa tano wa Senegal, ameapishwa kuwa rais katika hafla iliyofanyika katika mji mkuu, Dakar. Mapema mwezi huu, Bw Faye mwenye umri wa miaka 44 alishinda uchaguzi uliocheleweshwa, na kupata 54% ya kura zilizopigwa, mbele ya mpinzani…

Bima ya afya kwa wote mwarobaini utekelezaji sera ya wazee

Na WAF, Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa kuanza kwa utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote itakuwa suluhu ya kudumu ya utekelezaji wa Sera ya wazee kupata matibabu bure katika kila Kituo cha Afya nchini….

Rais Dkt Samia aongea na simu na Kanisa la WRM

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Waumini wa Kanisa la The Word Reconciliation Ministries (WRM) kuendelea kufanya ibada za kw Ushirikiano kwa kumwomba Mungu ili awatimizie…

Mashindano ya Gofu kumuenzi Lina kuanza kurindima tena Aprili 11 Morogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baada ya Awamu ya kwanza ya Mashindano ya Gofu ya kumuenzi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Wanawake ya gofu Lina Nkiya kumalizika Moshi, mkoani Kilimanjaro, sasa ni zamu ya Morogoro…

Halmashauri Kuu ya CCM Bagamoyo yampa tano Rais Samia kwa ukuaji kimaendeleo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze HALMASHAURI Kuu ya CCM, Wilaya ya Bagamoyo,Mkoani Pwani ,imeelekeza viongozi wa chama kuanzia Matawi hadi kata waongeze nguvu katika kusimamia miradi na utekelezaji wa ilani kwenye maeneo yao. Aidha imewataka wanaCCM kuisemea Serikali kwa makubwa…

Papa aomba kusitishwa kwa vita Gaza na Ukraine

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amesikitishwa na hali ya vita inayoikabili dunia kwa sasa na kuitaka jumuiya ya kimataifa kufanya kila liwezekanalo kusitisha vita Gaza na Ukraine. Papa Francis amesema hayo jana katika Jiji la Vatican wakati alipokuwa…