Year: 2024
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
IDARA ya Uhamiaji nchini Afrika ya Kusini imeamua kumnyang’anya utambulisho wa uraia Mrembo wa Afrika ya Kusini, Chidimma Adetshina baada ya kugundua amefanya udanganyifu wa uraia wake. Agosti mwaka huu ,Chidimma Adetshina alishinda taji la urembo la “Miss Universe South Africa”…
Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
Bondia Hassan Mwakinyo ametangaza ujio wa pambano lake Novemba 16, mwaka huu la kutetea mkanda wa Afrika wa WBO huku akitamba kuwa yuko tayari kumlaza mtoto wa mtu chini. Mwakinyo licha ya kutangaza ujio huo hajaweka hadharani mpinzani wake lakini akionekana…
JK aendeleza juhudi kukuza sekta ya maji barani Afrika
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ameshiriki Mkutano wa Bodi wa Taasisi ya Kimataifa inayojishughulisha na Masuala ya Maji Barani Afrika (Global Water Partnership – Southern Africa and Africa Coordination Unit – GWPSA – Africa) uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2024, jijini…
Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani
Rais Dk Samia Suluhu Hassan anatarajia kuondoka nchini leo Oktoba 29 kuelekea Des Moines, lowa, nchini Marekani kuhudhuria Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug ulioandaliwa na Taasisi ya Worl Prize Foundation ya nchi hiyo. Mjadala huo hufanyika kila mwaka na…