JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Serikali ina matumaini makubwa na Simba, Yanga kufuzu CAF

Serikali imesema ina matumaini makubwa na timu za Yanga na Simba katika michezo yao ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika itakayofanyika Ijumaa wiki hii. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma na…

Tetemeko la ardhi lenye nguvu zaidi katika miaka 25 laikumba Taiwan

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.4 katika kipimo cha Richter lilitokea kwenye pwani ya mashariki ya Taiwan siku ya Jumatano, na kutoa tahadhari ya tsunami katika kisiwa hicho na nchi jirani. Chanzo cha tetemeko hilo kinapatikana takriban 18km (maili…

TRA yakusanya trilioni 6.63 robo tatu mwaka wa fedha 2023/24

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2023 /24 imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shillingi Trilioni 6.63 sawa na ufanisi wa asilimia 95.17 ya lengo la…

TARURA Kagera yafungua barabara mpya Km. 826

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Kagera imefanikiwa kufungua  mtandao wa barabara mpya wa Km. 826  katika kipindi cha miaka mitatu kutokana na ongezeko la bajeti. Hayo yamebainishwa na Meneja wa…

BOT yawataka wanafunzi kuchangamkia fursa za kiuchumi kupitia sekta za kibenki

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Gavana wa Benki kuu nchini (BOT), Emmanuel Tutuba amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa za kiuchimi kupitia sekta za kibenki ikiwemo nafasi za masomo na maswala ya kibenki, zinazotolewa na taasisi za kifedha nchini…

Bima ya afya kwa wote mwarobaini utekelezaji sera ya wazee

….……… Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa kuanza kwa utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote itakuwa suluhu ya kudumu ya utekelezaji wa Sera ya wazee kupata matibabu bure katika kila Kituo cha Afya nchini. Dkt. Mollel…