JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Tanzania yapiga hatua katika mapambano dhidi ya VVU

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma IDADI ya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi nchini imeendelea kupungua kutoka watu 72,000 mwaka 2016/2017 hadi kufikia watu 60,000 kwa mwaka 2022/2023 idadi ambayo sawa na punguzo la asilimia 16. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Tume…

Try Again amgomea Moo Dewji kujiuzulu uenyekiti Simba

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwekezaji na Rais wa heshima wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji amewapigia simu wajumbe wa upande wake akiwataka waandike barua za kujiuzulu kwa lengo la kuunda safu mpya ya uongozi. Baada ya wajumbe…

TLS yawanoa wanahabari

Na Joyce Kasiki,Dodoma CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa mafunzo kwa waandishi wa habari yaliyolenga kuongeza tija katika utendaji kazi kwa waandishi wa habari hasa kwenye eneo la uhuru wa kujieleza. Akizungumza wakati akifungua mafunzo hayo,Makamu Mwenyekliti wa chama hicho…

NEMC kufanya ukaguzi athari za mazingira kwenye miradi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limejipanga kufanya mapitio ya miradi yote ili kuangalia kama imefanyiwa tathmini ya athari za mazingira katika kukabiliana na hatari za kimazingira zinazotokana na shughuli za…

Wanafunzi Chuo cha Utalii Pasiansi wapata elimu ya usalama wa watalii

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Wanafunzi toka Chuo cha Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi kutoka Mkoani Mwanza leo wamefika Katika kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia Jijini Arusha kwa ajili ya kujifunza namna ambavyo Kituo hicho kinafanya…