Year: 2024
Hamas yaihimiza Marekani kuishinikiza Israel kusitisha vita
Afisa mkuu wa kundi la Hamas, Sami Abu Zuhri ameihimiza Marekani kuishinikiza Israel kusitisha vita vyake katika Ukanda wa Gaza kabla ya ziara ya Waziri wa Mambo Nje wa Marekani Antony Blinken. Abu Zuhri ameongeza kuwa Hamas iko tayari kukubaliana…
Watu wanaoshukiwa kuwa wanajihadi wa Kiislamu waua zaidi ya 80 Kongo
Idadi ya waliouawa imeongezeka hadi 41 kufuatia shambulio la Ijumaa lililofanywa na watu wanaoshukiwa kuwa waasi wa Kiislamu kwenye vijiji vya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, msemaji wa jeshi la Kongo alisema, huku jumla ya watu waliouawa eneo…
Rais Samia akerwa migogoro ya familia
RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kujenga jamii na taifa kiroho ikiwa ni njia ya kukabili kuporomoka kwa maadili hasa kwenye familia. Rais Samia alisema hayo jana wilayani Sumbawanga kupitia hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Waziri wa…
Viwanja vya ndege kuchunguzwa kudhibiti uhalifu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar SERIKALI imeanza uchunguzi maalumu kubaini upungufu katika viwanja vyote vya ndege nchini na kuzifanyia kazi ikiwemo mifumo, utendaji na miundombinu ili kuboresha sehemu husika. Lengo ni kurahisisha uingiaji na utokaji wa wageni ikiwamo watalii wanaokuja…
Dk Biteko ateta na viongozi wa CCM Bukombe
📌 Asema uimara wa CCM unatokana na misingi imara iliyowekwa na Waasisi 📌 Amshukuru Rais Dkt. Samia kwa fedha za miradi Bukombe 📌 Asisitiza umuhimu wa maandalizi ya uchaguzi Serikali za Mitaa 📌 Ataka kila balozi kusimamia vema shina lake…
Ruhsa vyama vya siasa kuweka mawakala uboreshaji wa daftari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Vyama vya siasa vitaruhusiwa kuweka wakala mmoja kwenye kila kituo cha kuandikisha wapiga kura kwenye uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kuzinduliwa mkoani Kigoma, tarehe 01 Julai, 2024. Hayo yamesemwa…