JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Watuhumiwa 514 wakamatwa wakitorosha mifugo kwenda nchi jirani

Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo kwa kushirikiana na wananchi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wakitorosha mifugo 514 kwenda nchi jirani huku wakitumia vibali vya kampuni isiyohusika na mifugo hiyo. Akitoa taarifa hiyo kamanda wa Polisi Kikosi cha…

Rais Dk Mwinyi aongoza kisomo cha Hitma kumuombea hayati Sheikh Abeid Amani Karume Zanzibar

WAZIRI Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhajj Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar…

Timu ya madaktari bingwa watua Katavi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMeda, Katavi Timu ya madaktari bingwa wabobezi wa upasuaji kutoka nchini Marekani imewasili mkoani Katavi kwa lengo la kutoa huduma za upasuaji bure kwa wagonjwa wanaotakiwa kufanyiwa upasuaji wa magonjwa mbalimbali. Timu hiyo ya wataalamu 18 wakiwemo…

Dk. Rweikiza atoa futari kwa misikiti 113 Wilaya ya Bukoba Vijijini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bukoba MBUNGE wa Jimbo la Bukoba Vijijini (CCM), Dk. Jasson Rweikiza, ametoa chakula kwaajili ya fukari kwa waumini wa dini ya kiislamu kwa Misikiti 113 iliyoko Wilaya ya Bukoba Mkoa wa Kagera. Chakula hicho kilikabidhiwa mwishoni…

Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere limepunguza athari za mafuriko Rufiji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) umepunguza kwa kiasi kikubwa mafuriko na athari zake yaliyokuwa yakitokea katika wilaya hiyo. Meja Gowelle…