Year: 2024
Aliyeshauriwa kuondolewa kizazi nje ya nchi aokolewa Hospitali ya Temeke
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke(TRRH) imefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe katika kizazi, maarufu kama myoma. Myoma ni uvimbe usio wa saratani unaojitokeza kwenye kizazi, na hutokea kwa wanawake waliopo katika umri…
Waziri Mavunde azindua Timu ya kuandaa andiko la Visioni 2030
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezindua Timu itakayoandaa Andiko la maudhui ya Vision 2030: Madini ni Maisha na Utajiri katika hafla iliyofanyika Juni 12, 2024 jijini Dodoma. Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri Mavunde amesema kuandaliwa…
Waziri Simbachawane: Kukopa si aibu, ni afya kiuchumi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema mikopo ni moja ya vyanzo vya mapato ya serikali kote duniani, hivyo Tanzania kukopa siyo aibu wala kujidhalilisha, bali ni sifa njema…
Majaliwa awataka watumishi wa Serikali kuacha urasimu
WAZIRI mkuu wa Tanzania,Kasimu Majaliwa amewataka Watumishi wa serikali kuacha urasimu pindi wanapohudumia wananchi badala yake wahudumie wananchi na kutatua kero zao kwa wakati. Ameyasema hayo leo mkoani Arusha wakati akifungua mkutano mkuu wa 14 wa Taasisi ya Maboresho ya…
Wahariri wa vyombo vya habari watakiwa kuelimisha jamii umuhimu wa kujiandikisha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Darbea Salaam Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewaasa wahariri wa vyombo vya habari kuwahabarisha na kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Akizungumza…