Year: 2024
Mwenyekiti wa UVCCM Shinyanga atumbuliwa
Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Shinyanya chini ya mwenyekiti wake Mabala Mlolwa kimemvua madaraka mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana UVCCM Wilaya ya Shinyanga mjini Jonathan Agustino Madete kwa kosa la utovu wa nidhamu. Akizungumza…
Rais Samia atoa milioni 900/- upasuaji wa moyo watoto JKCI
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 900 kwaajili ya kuwasaidia watoto wenye matatizo ya moyo wasiokuwa na uwezo wa kugharamia matibabu. Fedha hizo zimelenga kuwagharamia…
Waandishi wa habari washauriwa kuelimisha wananchi umuhimu wa Daftari la Mpigakura
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waandishi wa habari nchini wametakiwa kutumia kalamu zao kuhabarisha na kuelimisha wananchi kuendelea kuzingatia sheria za uchaguzi, kanuni za uboreshaji na maelekezo ya Tume kuhusu zoezi la uboreshaji wa daftari la mpiga kura….
Serikali yawataka wananchi kufunga kifaa cha kuzuia athari za umeme majumbani
📌 Lengo ni kujilinda na athari za umeme 📌 Kapinga ataja juhudi zinazofanywa na Serikali kuimarisha hali ya umeme Jimbo la Segerea 📌 Asema usambazaji umeme vijijini unaendelea, vitongoji 4000 kupatiwa umeme 2024/2025 na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu waziri…
ACT Wazalendo : TAMISEMI kusimamia uchaguzi Serikali za Mitaa inavunja sheria
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema kitendo cha Wizara Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa inavinja Sheria. Hayo yamesemwa Juni 12, 2024 na Katibu…
Matokeo ya uwekezaji, TPA yavunja rekodi ya kutoa gawio la bilioni 153.9 Serikalini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imevunja rekodi kwa kutoa jumla ya Shilingi za Kitanzania 153.9 Bln kama gawio kwa Serikali kuu kwa mwaka wa fedha Mwaka 2023/2024. Gawio hilo limeifanya TPA,…