Year: 2024
Waziri Ummy ameonya juu ya matumizi holela ya dawa
Na WAF, DODOMA Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameitaka jamii ya watanzania kutumia dawa kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ili kuondokana na changamoto ya usugu wa vimelea vya dawa mwilini (UVIDA) Waziri Ummy ametoa wito huo Juni 12,2024…
GP Wambura akabidhiwa uenyekiti wa SARPCCO
Matukio mbalimbali pichani yakimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura akikabidhiwa uenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Zambia IGP Graphel…
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu mbaroni tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa chuo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mwanza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Esmail Nawanda (46) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha jiji Mwanza. Ambapo tukio hilo lilitokea mnamo Juni 02,2024 majira…
Rais Tinubu wa Nigeria aanguka katika hafla ya kitaifa
Rais, 72, alianguka alipokuwa akipanda ngazi kwenye gari ambalo lilipaswa kumpeleka karibu na Bustani ya Eagle Square katika mji mkuu, Abuja. Ilibidi asaidiwe kusimama. Mmoja wa wasaidizi wake alielezea kama “hatua mbaya” na akasema rais ameweza kuendelea na programu iliyobaki….
Mafanikio miradi ya kusafirisha umeme yatajwa kutoka bajeti Kuu ya Serikali
Akisoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Bungeni-Dodoma, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali ya Awamu ya Sita imekamilisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa Kilovoti 400 na kituo kipya…