JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Waziri Mkuu akiwa Monduli

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakisalimiana na wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine, Nekiteto Sokoine (wa pili kushoto) na Napono Sokoine (wa tatu kushoto) walipowasili Monduli Juu kushirikiki Ibada ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya…

Rais Samia ashiriki misa takatifu ya miaka 40 ya kumbukumbu kifo cha hayati Sokoine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine. Ibada…

Serikali kuanza utekelezaji mradi wa bonde la Msimbazi

Na Georgina Misama, Maelezo Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini Tanzania (TARURA), inatarajia kuanza utekelezaji wa Mradi wa Bonde la Msimbazi jijini Dar es Salaam, kuanzia Jumatatu, tarehe 15 Aprili, 2024, kwa kubomoa nyumba katika eneo la…

Matinyi : Bwawa la Umeme la Nyerere siyo chanzo cha mafuriko Rufiji

Na Georgina Misama, Maelezo Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema Bwawa la Umeme Julius Nyerere (JNHPP) halikusababisha mafuriko yanayoendela katika wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani na badala yake bwawa…

Rais Samia awasili Arusha kushiriki misa ya 40 ya Hayati Sokoine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro KIA,tayari kwaajili ya kuelekea Wilayani Monduli Mkoani Arusha kwenye Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri…

RC Chongolo akutana na uongozi wa Uhifadhi Ngorongoro

Uongozi ya Hifadhi ya Ngorongoro Umefanya ziara ya kikazi kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel G. Chongolo. Pamoja na mambo mengine walijadiliana kwa kina kuhusu Uendelezaji wa Eneo la Kimondo Kwa ajili ya Maendeleo ya Kitalii na…