JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

DAWASA yaja na suluhisho la kudumu kwa wakazi wa Sinza C na D

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakazi wa Kata ya Sinza, Wilaya ya Kinondoni wametolewa hofu ya upatikanaji wa huduma ya maji kwenye maeneo yao kufuatia jitihada kubwa zinazotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es…

Mradi wa Julius Nyerere wakamilisha mtambo namba nane na kuingiza umeme kwenye Gridi ya taifa

Na Mwandisho Wetu, JamhuriMedia, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika na sasa unaingiza megawati 235 kwenye gridi ya taifa. Dkt…

Gari la TANESCO lapata ajali mmoja afariki

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari aina ya fuso yenye namba za usajili T 195 EDF, iliyokuwa imebeba watumishi wa shirika la umeme Tanesco. Gari hilo lililokuwa…

Wananchi wampata tano mbunge Bashungwa kufanikisha ujenzi barabara ya Bugene -Kasulo – Kumunazi

Na Mathias Canal, JamhuriMedia,Karagwe-Kagera Wakazi wa Kijiji Cha Nyakahanga wilayani Karagwe Mkoani Kagera wameishukuru Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha ujenzi wa miundombinu ya barabara pamoja na madaraja….

Prof. Mkumbo ataka matokeo chanya kwa wawekezaji Mkulazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema viwanda vingi nchini vimekuwa vikijiendesha kwa kutumia malighafi zitokanazo na bidhaa za kilimo, mifugo, uvuvi na misitu kutokana urahisi wa upatikanaji wa…

RC Chalamila atangaza kampeni ya upimaji afya bila malipo

-Asema kampeni hiyo ni ya siku 10 itaanza Juni 20-30,2024 -Abainisha kampeni hiyo inatarajia kuwafikia wananchi zaidi ya elfu kumi -Atoa rai kwa wakazi wa DSM kujitokeza kwa wingi kupima afya zao Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu…