Year: 2024
Rais Samia : Vyombo vya habari si mshindani wa Serikali
Rais Samia amevitaka vyombo vya habari kuhamasisha kupokea ujuzi mpya, taarifa zamaendeleo ya kiteknolojia katika sekta za uzalishaji na maendeleo ya jamii, vifichue maovu na kutowajibika kunakofanywa naWatumishi na Watendaji wa Serikali, vinatoa mrejesho wa hisia na mtazamo wa wananchi…
Spika Tulia aagiza Mpina apelekwe Kamati ya Maadili
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu. Akitangaza uamuzi…
Wahariri waguswa mradi wa bomba la mafuta
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar e Salaam WAHARIRI wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini wameshangazwa na kuvutiwa na faida lukuki ambazo jamii na wananchi wa mikoa minane ambao wamepitiwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)…
RUWASA Simanjiro kufikisha huduma ya maji hadi kwenye Makao Makuu ya Vijiji – Mhandisi Mushi
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini ( RUWASA) Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara Ina mpango mkubwa ni kuhakikisha inafikisha huduma ya Maji kwenye Makao Makuu ya Vijiji vyote Wilayani humo. Hayo yamebainishwa hivi karibuni…
Mtoto mlemavu wa ngozi auawa kikatili, akatwa ulimi na mikono
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Mwili wa mtoto Asimwe Novath (2) aliyetekwa kwa Zaidi ya wiki mbili umepatikana Juni 17, ukiwa umefungwa kwenye mfuko (sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo kama ulimi na mikono yote miwili. Tukio la kutekwa kwa…