Year: 2024
Vijana waandamana Kenya
Kundi la vijana limeandamana mjini Nairobi, Kenya leo Juni 20, 2024 kuishinikiza serikali kufuta mapendekezo ya muswada wa sheria ya kodi, ambao wanadai hauna tija kwa wananchi. Vijana hao wamedai muswada huo haukushirikisha wadau wengi wakiwemo wanasiasa, ili uweze kujadiliwa…
Watu 34 wamekufa India baada ya kunywa pombe yenye sumu
Takriban watu 34 wamekufa baada ya kunywa pombe yenye sumu katika jimbo la Tamil Nadu, kusini mwa India, maafisa wamesema. Kisa hicho kilitokea katika wilaya ya Kallakuruchi ambapo wakazi kadhaa waliugua baada ya kunywa pombe hiyo Jumanne usiku. Takriban watu…
DC Magoti atembelea mradi wa uwekezaji wa Visegese Kisarawe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kisarawe Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amefanya kikao kazi na wataalam wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyi pamoja na Kamati ya Usalama Wilaya kwa ajili ya kujadili maendeleo ya Mradi wa…
Doyo arejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa Chama cha ADC kwa kishindo
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamati ya Uchaguzi ya Chama Cha Alliance For Democract Change (ADC) imepokea fomu za wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Taifa na Makamu wake ili kujiandaa na mchakato wa uchaguzi ambao unatarajia kufanyika Juni…
Dk Mpango : Watumishi wa umma wanapaswa kumuenzi marehemu Tixon Nzunda
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema watumishi wa Umma wanapaswa kumuenzi aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro marehemu Tixon Nzunda kwa kuwa waadilifu, wazalendo na kumtanguliza…
THRDC, LHRC yalaani mauaji ya mtoto Asimwe
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) pamoja na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamelitaka Jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa kina juu ya tukio la utekwaji na…