JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Serikali kuendelea kudhibiti athari za michezo ya kubahatisha

Na Farida Ramadhani, WF – Dodoma Serikali kupitia Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuzuia na kudhibiti athari za michezo ya kubahatisha ili kuhakikisha jamii inakuwa salama. Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri…

Dk Nhimbi alakiwa kwa shangwe na mkutano mkubwa Ubaruku, Mbarali

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amepokelewa kwa shangwe na nderemo na wananchi wa Mbarali, wakiongozwa na vijana waendesha bodaboda, baada ya kuwasili na msafara wake katika Kata ya Ubaruku, Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya,…

Miaka miwili ya filamu ya Royal Tour, mabalozi wampa tano Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ngorongoro Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Ujerumani, Ufaransa na Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi za kutangaza utalii wa Tanzania zilizopelekea kuendelea kuongeza idadi ya…

Miaka 60 ya Muungano, Tanzania yang’ara uongozi wa Taasisi za Kikanda na Kimataifa

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika kipindi cha utekelezaji wa miaka 60 ya Muungano, Tanzania imefanikiwa kutoa viongozi mahiri kuongoza taasisi za kikanda na kimataifa ikiwa ni ishara ya kuaminiwa na mataifa mengine. Baadhi ya nafasi ambazo Tanzania imeongoza ni uteuzi wa…

Dk Biteko: Bwawa la Umeme la Julius Nyerere liko salama

📌 Asema limepunguza athari za mafuriko 📌 Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji 📌 Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika 📌 Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya Gesi. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu…