Year: 2024
Mbunge Yustina Rahhi aunga mkono juhudi za Rais Samia kwa kutoa mafunzo ya ujasiriamali Kiteto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara Yustina Rahhi ameandaa mafunzo ya ujasiriamali kwa wajengea uwezo akina mama na vijana wajasiriamali wa Mkoa wa Manyara ili kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kupelekea…
Mzeituni mmea tiba uliotajwa kwenye vitabu vitakatifu
MZEITUNI ni mti unaostawishwa katika mataifa mbalimbali duniani. Pamoja na kupatikana kwenye nchi nyingi, lakini Israel ambayo ni nchi takatifu, ni miongoni mwa mataifa yanayostawisha kwa wingi zaidi mmea huo. Mti huu ni ule uliotajwa mara kadhaa ndani ya vitabu…
Wazazi, walezi Iringa washauriwa kuacha ulevi ili kumlinda mtoto
Wazazi na Walezi wa Kijiji cha Tungamalenga Tarafa ya Idodi Wilaya ya Iringa mkoani Iringa wametakiwa kuacha tabia ya ulevi na kutotekeleza majukumu yao ya malezi kwa watoto ili kuhakikisha uliinzi na usalama wa watoto wao. Akizungumza kwenye mkutano wa…
Majaliwa : Rais Dk Samia amedhamiria kufikisha maendeleo kwa wote
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuhakikisha wananchi wote wanapata maendeleo na huduma mbalimbali za msingi kwa wakati na karibu na maeneo yao ya makazi. Maendeleo hayo yatakuwa dhahiri na endelevu endapo…
Milioni 250 zaidhinishwa ujenzi wa daraja la Kiloka wilayani Morogoro
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Serikali imeshaidhininisha kiasi cha shilingi Milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Kiloka linaounganisha kijiji cha Kiloka na vijiji jirani ambalo lilisombwa na maji ya mvua zilizonyesha mwanzoni mwa mwaka huu nchini. Hayo…
Viongozi Serikali ya Nigeria watembelea JKCI
Na Mwandishi Maalumu – JKCI Viongozi wa Serikali ya Nigeria wametembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa pamoja na kuangalia uwekezaji uliofanywa na Serikali katika matibabu ya kibingwa ya moyo nchini….