Year: 2024
Dk Biteko akutana na wawekezaji wa Modern Industrial Park
📌 Asisitiza Serikali itaendelea kushirikiana na wawekezaji Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa Modern Industrial Park wanaomiliki kongani ya…
Vifo vyafikia 19 shambulio la jimbo la Urusi la Dagestan
Idadi ya vifo vilivyotokana na shambulizi la jana Jumapili katika jimbo la Dagestan kusini mwa Urusi imeongezeka na kufikia 19. Kulingana na Kamati ya uchunguzi mapema leo, washambuliaji watano pia waliuawa kwenye shambulizi hilo. Shirika la habari la AFP limeinukuu…
Afisa mifugo mbaroni kwa kupuuza wajibu wa kazi
Mahakama ya Wilaya Karagwe imemtia hatiani Afisa Mifugo wa Kijiji cha Nyaishozi – Mwenge Datius Mathias. Mshtakiwa ametiwa hatiani kwa kosa la kupuuza wajibu wa kikazi kinyume na kifungu cha 123 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu na kupewa adhabu…
CCM yataka Dk Mwinyi aongezewea muda
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk Mohamed Said Dimwa amesema wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu (NEC) CCM Taifa Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu ya NEC kuridhia kumuongezea muda Rais wa…
Msukuma aomba mwongozo wa wafanyabiashara Kariakoo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma amesimama bungeni leo asubuhi akiomba mwongozo wa Spika kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo mkoani Dar es Salaam ulioanza leo, akisema kuwa watoka maeneo mbalimbali ya nchi kwa ajili ya…
Bendera ya Taifa yapeperushwa vema nchini Rwanda
Na Mwandishi Maaalum Kikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa…