Year: 2024
Malezi na makuzi mabovu yalivyokiini cha ukatili katika jamii
Na Daniel Limbe,Geita “Samaki mkunje angali mbichi” ndivyo wasemavyo wahenga wakimaanisha mtoto mwema,mwenye hekima, busara na maarifa huandaliwa kingali mdogo. Maneno hayo yanauweka bayana ukweli wa maisha ya mwanadamu katika malezi na makuzi ya mtoto hata anapokuwa mtu mzima. Ukweli…
Dk Samia mgeni rasmi kilele cha Wiki ya Wazazi Mpanda
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya Wazazi kinachotarajiwa kufanyika Julai 13 mwaka huu Wilayani Mpanda Mkoani Rukwa. Hayo yameelezwa leo Julai 24,2024 Jijini…
TANESCO yatangaza kuanza rasmi kwa maboresho ya mfumo wa LUKU mikoa Kanda za Kusini, Nyanda za juu Magharibi
Na Agnes Njaala, JamhuriMedia, Rukwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuanza rasmi kwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Kanda ya Kusini na Nyanda za juu Kusini Magharibi. Akitangaza kuanza rasmi…
Matumizi ya kidigital shuleni kusaidia weledi kwa wanafunzi
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Sekta ya elimu inatakiwa kuja na mikakati mizuri ya Tehama ili kusaidia weledi wa ufundishaji kwa kuangalia mabadiliko ya teknolojia yanayoenda kasi ili kurahisisha shughuli zake na kuwa na weledi. Hayo yamebainishwa leo Juni…
Nyota yang’ara mchezo wa kuogelea
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar ea Salaam MASHINDANO ya mchezo wa kuogelea kwa vijana yamemalizika hapo juzi kwenye bwawa la kuogelea lililopo katika Shule ya Kimataifa Tanganyika (IST) huku vijana mbalimbali wakichuana vikali. Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili mara…