JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Watuhumiwa 21 mbaroni kuhusika na dawa za kulevya kilogramu 767.2

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevyab(DCEA) imewatia mbaroni watuhumiwa 21 kwa kuhusika na za dawa za kulevya jumla ya Kilogramu 767.2 ikiwemo aina ya heroin, methamphetamine, na skanka . Ukamataji huo…

Balozi Nchimbi azuru kaburi la hayati John Komba Lituhi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, leo Jumapili, Aprili 21, 2024, amezuru kaburi la Hayati Kepteni (mst) John Damiano Komba  na kutoa heshima zake kwenye kaburi hilo kwa kuweka shada la maua. Dkt. Nchimbi…

Mkutano wa kimataifa dhidi ya taka za plastiki kuanza tena

Wapatanishi kutoka nchi 175 wanakutana kuanzia Jumanne hii nchini Canada, ili kuhitimisha maandalizi ya mkataba wa kimataifa wa kukomesha uchafuzi wa mazingira utokanao na plastiki. Hatua hiyo inatarajiwa miezi mitano baada ya duru ya mwisho ya mazungumzo yaliyofanyika nchini Kenya….

Dk Tulia : Serikali kutoa viwanja 21 kwa wahanga wa maporomoko Itezi

Serikali itatoa viwanja 21 kwa wahanga wa maporomoko ya tope katika mlima kawetere, Itezi jijini Mbeya, huku zaidi ya vifaa na vyakula vyenye thamani ya Shilingi Milioni 40 vikitolewa kwa wahanga kuanzia tarehe 14 Aprili, 2024 maafa hayo yalipotokea hadi…

Makamu wa Rais atembelea ujenzi wa ofisi za CCM Micheweni

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea ujenzi wa ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini…

Rais Samia kugharamia matibabu ya watoto 100 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi

Na WAF – Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan atagharimia matibabu ya upasuaji na utengamao kwa watoto 100 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi yatakayofanyika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa…