JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TAKUKURU Kinondoni yapokea malalamiko 84 kwa kipindi cha Januari hadi Machi, 2024

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Kinondoni imesema katika kipindi cha miezi mitatu Januari hadi Machi ,2024 wamefanikiwa kupokea jumla ya malalamiko 84 ambapo yaliyohusu rushwa ni 40 yasiyohusu rushwa ni 44. Amebainisha…

JKCI yaanza kuwahudumia wagonjwa majumbani

……………………………. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeanzisha huduma ya kuwahudumia wagonjwa wakiwa majumbani (home based care) ambayo itasaidia kupunguza gharama ambazo mgonjwa uzitumia akiwa hospitalini. Akizungumza na waandishi wa habari wakati…

NCAA : Hakuna mwananchi atakayepata nyumba kinyume na utaratibu

NA Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Karatu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kwamba ipo makini kuhakikisha kuwa kila kaya inayojiandikisha kuhama kwa hiyari ndani ya hifadhi inapata nyumba katika Kijiji cha Msomera  kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na kwamba hakuna mtu…

Bajeti ya matengenezo miundombinu ya umeme kuendelea kuongezeka kila mwaka – Kapinga

📌 Shilingi Bilioni 109.8 zatumika mwaka 2023/2024 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) itaendelea kuongeza bajeti kila mwaka ya matengenezo ya miundombinu ya umeme hadi changamoto…

Boniface Jacob, Malisa kikaangoni kusambaza taarifa za uongo kifo cha Robert Mushi

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Ndugu wa Marehemu Robart Mushi (34) maarufu kwa jina la Babu G wamekanusha taarifa za uongo na uzushi zinazosambaa katika mitandao ya kijamii iliyoambatanishwa na picha yake na kupitia Account ya Boniface Jacob na…