JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Profesa Janabi atua Arusha kuongeza kasi kambi ya matibabu ya RC Makonda

Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari bingwa na Mbobezi kwenye magonjwa ya moyo amewasili mkoani Arusha usiku wa Jumatano Juni 26, 2024 tayari kuhudumia wananchi kwenye Kambi maalum ya Matibabu inayoendelea mkoani Arusha kwenye…

ETDCO yaendelea kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme mradi wa Tabora – Katavi 132kV

Kaimu Meneja Mkuu Kampuni ya ETDCO CPA Sadock Mugendi amesema wanaendelea kujenga miundo mbinu ya umeme nchini ikiwemo njia ya kusafirisha umeme kutoka Tabora hadi Katavi ambao ni mradi wa kusafirisha umeme na tayari mradi umefkia asilimia 67. Mugendi amesema…

DAWASA yapeleka matumaini mapya Msumi

_Uchimbaji wa visima virefu kama mpango wa awali waanza kutekelezwa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza kutekeleza kazi ya uchimbaji visima katika eneo la Mbezi- Msumi Kata…

MISA yaomba kupunguzwa ada leseni vyombo vya habari vya mtandaoni

Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Taasisi ya habari kusini mwa Afrika tawi la Tanzania (MISA-TAN), imeiomba Serikali kupunguza viwango vya ada ya kuendesha mitandao ya kijamii (Blogs,Online Tv na You Tube) ili kuvutia vijana wengi kumiliki.mitandao kisheria. MISA pia imeomba serikali kuharakisha…