JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Bodi ya NHC yajionea maendeleo ya miradi iliyopo Dar es Salaam

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), imejionea maendeleo ya miradi mbalimbali iliyopo Dar es Salaam ili kuona juhudi zinazofanywa na timu ya ujenzi chini ya usimamizi wa Mkurugenzi Mkuu…

NHC kuanzisha mkoa mpya wa kiutendaji wa Urafiki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kuunga mkonono juhudi za Rais Samia Suluhu Hasan, za kuchochea maendeleo, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limedhamiria kuanzisha mkoa mpya wa kiutendaji wa Urafiki. Akitangaza dhamira hiyo imeelezwa na Mkurugenzi Mkuu…

Serikali inakiongezea uwezo kituo cha kupoza umeme Mbagala – Kapinga

📌 Lengo ni kuondoa changamoto ya kukatika umeme Mbagala 📌 Asema mradi wa kupeleka umeme eneo la Kitume – Bagamoyo wafikia asilimia 57 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inafanya upanuzi…

Breaking News; kijana Sativa apatikana Katavi akiwa na majeraha

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kijana Edger Edson Mwakabela (27), maarufu kwa jina la Sativa, mkazi wa Mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam amepatikana katika Hifaadhi ya Katavi akiwa na majeraha katika sehemu mbalimbali ya mwili wake….

Serikali yazitaka Taasisi kuimarisha usimamizi katazo la mifuko ya plastiki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imezitaka Mamlaka na Taasisi zake zote kuimarisha na kuwezesha vitengo vyake vinavyosimamia utekelezaji wa katazo la mifuko ya plastiki ili viweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo kama ilivyoelekezwa kwenye Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Sura 191 na…

Barabara zinazoelekea Ikulu ya Rais Kenya zawekwa vizuizi vya kiusalama

Kundi la vitengo kadhaa vya usalama vimetumwa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Nairobi ili kusubiri maandamano ya vijana yanayopangwa kufanyika siku ya Alhamisi. Waandamanaji hao wameapa kuandaa maandamano ya kuelekea ikulu ya rais ikiwa ndio kilele cha maandamano ya…