Year: 2024
Ruto: Sina hatia na vifo vya waandamanaji
Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa “hana hatia” na vifo vya waandamanaji vilivyotokea mapema wiki iliyopita katika maandamano ya kuipinga serikali yake. Ruto ametoa kauli hiyo wakati mamia ya watu wakikusanyika jana katika mji mkuu wa Nairobi kuwakumbuka watu…
Rais wa Msumbiji kufanya ziara ya siku nne Tanzania, kufungua maonyesho Sabasaba
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania inatarajiwa kupokea ugeni wa Rais wa Msumbiji Philip Jacinto Nyusi ambaye atawasili kwa ziara yake ya siku nne kuanzia Julai 1hadi 4 ,2024 na ndiye mgeni rasmi atakayefungua maonyesho ya 48 ya biashara…
Mchungaji Peter Msigwa ajiunga na CCM; Chadema wapata pigo zito
Na Mwandishi wetu -Jamuhuri Media Dar es Salaam Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mchungaji Peter Msigwa amejiunga na chama cha Mapinduzi CCM Mchungaji Peter Msigwa ametambulishwa leo Juni…
TANROADS yampa tano Rais Samia kutoa bil. 101.2/- kwa ujenzi wa barabara Kahama – Bulyanhulu – Kakola
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Baada ya tarehe 16 Machi 2024 Serikali kusaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct – Kakola yenye urefu wa Kilomita 73 kwa kiwango cha lami, tayari Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation imeanza…
Kuelekea chaguzi: Vyombo vya habari vyashauriwa kutoa elimu ya rushwa
Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati tukielekea kwenye uchaguzi Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), CP .Salumu Rashid Hamduni ,amevitaka vyombo vya habari na wadau mbalimbali nchini kushirikiana kupiga vita rushwa ili kupata viongozi…