Year: 2024
Tushindane kuwaletea maendeleo wananchi – Rais Dk Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewataka wanasiasa kushindana kuwaletea wananchi huduma bora za kijamii kimaendeleo. Rais Dkt.Mwinyi ameeleza kuwa kama yeye amejenga hospitali kila Wilaya na kuboresha huduma mbalimbali za kijamii iwe ni…
Dk Nchemba aongoza mawaziri wenzake kikao makamu wa rais
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaongoza Mawaziri wenzake; Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Jerry Silaa (Mb), katika kikao na Makamu wa Rais…
TTB yajipanga kukuza sekta ya utalii nchini
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BODI ya Utalii Tanzania (TTB), imesema imelenga kuhakikisha fursa zote za utalii wa Tanzania kuanzia ngazi ya halmashauri zinatambulika ili kuliingizia Taifa pato. Hayo yameelezwa mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro n Mkurugenzi Mkuu…
RC Chalamila akutana na Kamati ya ardhi Maliasili na Utalii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai mosi,2024 amekutana na Kamati ya Ardhi Mali asili na Utalii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi hiyo Ilala Boma Kamati hiyo…
‘Tatizo la ugonjwa wa Fistula bado ni kubwa’
Na Marco Maduhu, JammhuriMedia, Shinyanga WANAWAKE 16 ambao wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la Ugonjwa wa Fistula mkoani Shinyanga,wamefanyiwa upasuaji wa tatizo hilo, huku wengine Nane wakitarajiwa kufanyiwa leo na kufika 24. Zoezi hilo la upasuaji limefanyika bure katika Hospitali ya…
Mfahamu marehemu Yusuf Manji, biashara, Yanga, kesi dawa za kulevya mpaka kufariki
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jana Juni 30, 2024 tumepokea taarifa za kushtua na kupasua mioyo ya watu kuhusiana na kifo cha aliyekuwa mfanyabiashara mkubwa nchini, Mkurugenzi wa Quality Group Limited ambaye pia amewahi kuwa mwekezaji wa Klabu…