Year: 2024
Rais Nyusi kufungua maonesho ya Sabasaba kesho
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi atatoa hotuba ya ufunguzi wa maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu Sabasaba kwa kutumia…
Mipira ya mikononi milioni 86.4 kuzalishwa na Kiwanda cha Idofi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Imeelezwa kuwa kiwanda cha kuzalisha mipira ya mikono kinachomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) kilichopo Idofi, wilayani Makambako mkoani Njombe kimepiga hatua kubwa ambapo kinazalisha mipira ya mikono milioni 86.4 sawa na asilimia 83 4…
Daraja la J.P Magufuli la Kigongo – Busisi kuanza kutumika Desemba 30
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa Kilomita 3.0 na barabara unganishi Kilomita 1.66 linatarajiwa kuanza kutumika Tarehe 30 Disemba 2024 likiunganisha Barabara Kuu ya Usagara – Sengerema – Geita zenye urefu…
Jafo akagua maendeleo ya ujenzi jengo la utawala
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la utawala la Ofisi ya Makamu wa Rais unaondelea katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma leo…
Riziki Ndumba, fundi cherehani mwenye ulemavu wa mikono anayetamani kushona sare za jeshi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Riziki Ndumba ambaye ni fundi Cherehani na mlemavu wa mikono ameiomba serikali kuweza kumpa ajira ya kuweza kushona sare za Jeshi la Polisi au Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Ndumba ambaye ni muhitimu…