JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Viongozi wa dini waaswa kuepuka migogoro

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Viongozi wa madhehebu ya dini wanaoteuliwa na kupatiwa dhamana ya kuongoza jamii wametakiwa kujiepusha na migogoro kutokana na madaraka yao,badala yake waisaidie serikali katika kuilinda amani na utulivu kama walivyoitwa kwenye nafasi zao. Kaimu msajili…

Safari za treni za kisasa SGR zaongezwa

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeongeza safari za treni ya reli ya kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Morogoro ambapo kuanzia Julai 5, abiria wataanza kutumia treni ya haraka (express train) isiyosimama vituo vya kati. Taarifa iliyotolewa na…

Daraja la kilomita 24 lafunguliwa China

Hatimaye China imefungua daraja lake linalopita baharini la kilomita 24 likiunganisha mji wa Shenzhen na Zhongshan katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa taifa hilo. Daraja hilo linaanzia kwenye makutano ya uwanja wa ndege wa Shenzhen na kuungana na Kisiwa cha Ma’anshan…

Wazawa wapokwa zabuni

*Ni ya kulinda Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki*Kampuni ya kigeni iliyopata kazi ya kulinda haipo eneo la mradi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya Ulinzi ya Garda World Tanzania Limited inayomilikiwa na raia wa Canada…

Waziri Silaa kuunda timu ya wataalamu wa ardhi kufanya uhakiki wa mipaka, historia Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani WAZIRI wa ardhi, Jerry Silaa amewahakikishia wakazi wa Mbala,Pingo -Chamakweza Chalinze mkoani Pwani kuwa atapeleka timu ya watalaamu wa ardhi ili kufanya uhakiki wa mipaka katika mgogoro uliodumu kwa miaka 25 ambao bado haujapata suluhu. Aidha…