Year: 2024
PPRA yajivunia mafanikio kupitia NeST, yaokoa bilioni 14.94/-
Na Stella Aron, JamhuriMedia ,Dar es Salaam Jumla ya Taassi za ununuzi 21,851 zimesajiliwa na zinatumia mfumo wa kielektroniki wa Ununuzi wa Umma (NeST) ambapo bajeti ya ununuzi ya zaidi ya shilingi trilioni 38.6 imewekwa kwenye mfumo wa NeST kama…
Muigizaji Grace Mapunda ‘ Tesa’ azikwa Dar
Na Isri Mohamed Mwili wa muigizaji Grace Vicent Mapunda maarufu kwa jina la Tesa umezikwa leo Novemba 4, 2024 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Awali kabla ya mazishi mwili wake ulipewa heshima za mwisho katika hafla iliyofanyika…
Wizara ya Fedha yataka wafanyabiashara kukopa mikopo rasmi ili kukuza uchumi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI kupitia Wizara ya fedha imewataka wafanyabiashara kote nchini kukopa mikopo rasmi kwenye taasisi za kifedha zinazotambulika ambazo zitaleta unafuu wa riba na kuwa na faida kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja. Hayo yameelezwa leo November…
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa kupeleka umeme wa gridi Mtwara na Lindi – Kapinga
📌 Lengo ni kuimarisha upatikanaji wa umeme 📌 Fidia kulipwa kwa wanaopisha mradi Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya…
Gwiji Mike Tyson kurejea ulingoni baada ya miaka 19
Na Isri Mohamed Ikiwa ni miaka takribani 19 na miezi mitano imepita tangu Gwiji wa masumbwi duniani, Mike Tyson (58), atangaze kustaafu ngumi za ushindani, hatimaye ametangaza kurejea katika ngumi za kulipwa na anatarajia kupanda tena ulingoni Novemba 15, 2024…
Watu 14 wamefariki dunia na wengine 34 kujeruhiwa baada ya radi kupiga kanisa Uganda
Watu 14 waliuawa na wengine 34 kujeruhiwa baada ya radi kupiga kanisa katika wilaya ya kaskazini mwa Uganda ya Lamwo Jumamosi, Polisi walisema. Kanisa hilo liko katika kambi ya wakimbizi ya Palabek, Citizen imeripoti. Msemaji wa Polisi wa Uganda Kituuma…