Year: 2024
TTCL yaja na huduma mpya ya T-CAFE
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Bodi Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Zuhura Muro amesema kutokana na dunia ya sasa ipo kidjitali imewezesha TTCL kupiga hatua katika kutoa huduma mbalimbali. Amesema kwa sasa TTCL imekuja na huduma…
Serikali kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili wafanyabiashara
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kufanya kila linalowezekana kusikiliza na kutatua changamoto za wafanyabiashara nchini. Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 03, 2024 jijini…
JWTZ kuadhimish miaka 60 tangu kuasisiwa kwake Septemba1, 1964
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaa Serikali ya Tanzania kupitia Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania( JWTZ linatarajia kufanya maadhimisho ya miaka 60 tangu kuasisiwa kwake Septemba 1, 1964 na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Akizungumza na waandishi wa habari…
NIRC yahimiza wahandisi kusajiliwa, w8aendane na kasi ya uwekezaji wa Rais Samia
NiRC Dodoma TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imesema kutokana na uwekezaji mkubwa alioufanya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan katika miradi ya umwagiliaji ni muhimu wahandisi wa taasisi hiyo kusajiliwa. Lengo ni kuhakikisha wanaosimamia miradi hiyo wanakidhi vigezo na wanatambua wajibu…
Meneja TRA Kibondo akamatwa na meno ya tembo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo. Mutegeki Bagasheki amekamatwa na nyara hizo…
Serikali itaendelea kusimamia, kukuza uadilifu wa maadili – Dk Biteko
📌Azitaka taasisi za dini kushirikisha Serikali kusimamia maadili 📌Wizara ya Maendeleo ya Jamii Shirikisheni wadau 📌Azitaka taasisi za umma na Serikali kuwa mfano bora kwenye jamii kuhusu maadili 📌Asisitiza maadili kupewa kipaumbele katika Mtaala wa Elimu Na Ofisi ya Naibu…