Year: 2024
Silaa aingilia kati mgogoro wa Mohammed enterprises na wananchi wa Kipange
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha WAZIRI wa ardhi , Nyumba na Makazi, Jerry Silaa aingilia kati mgogoro wa ardhi kati ya Mohammed Enterprises na wananchi wa Kipangege, Msufini kata ya Soga ,Kibaha Vijijini ,Mkoani Pwani ambapo amesitisha shughuli yoyote isiendelezwe…
FCC kutoa elimu Sabasaba kuhusu bidhaa bandia
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya Ushindani nchini (FCC) imeendelea kutoa elimu kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla kuhusu bidhaa bandia katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba yanayofanyika…
Naibu Waziri Kapinga awahakikishia umeme wa uhakika vijiji vya Manzwagi, Kidunyashi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kuwasimamia kwa umakini wakandarasi ili waweze kukamilisha kazi zao kwa wakati na kwa ufanisi, pia amewaelekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wanaongeza nguzo 40 ambazo ni…
Serikali yaipa TANROADS Mwanza bil. 58.27/- kujenga daraja la Simiyu na daraja la sukuma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 58.288 kwa ajili ya kujenga daraja la Simiyu na daraja la…
Huzuni, hasira baada ya watu 121 kupoteza maisha kutokana na mkanyagano India
Siku moja baada ya watu 121 kukanyagana hadi kufa katika hafla ya kidini katika jimbo la kaskazini mwa India la Uttar Pradesh, familia za baadhi ya waathiriwa bado zinawatafuta wapendwa wao. Tukio hilo lilitokea wakati wa satsang (tamasha ya kidini…
Wanajeshi 25 wahukumiwa kifo Kongo
Wanajeshi 25 waliotiwa hatiani kwa kumkimbia adui wakati wa mapigano na kundi la waasi la M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamehukumiwa kifo kwenye kesi iliyofanyika jana huko Kivu Kaskazini. Kwa mujibu wa mawakili wao, kesi hiyo iliwajumuisha…