JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wizara ya Kilimo kuongeza ajira zenye staha kupunguza umaskini

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (Mb) akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/2025, amesema wizara yake itaendelea kuwezesha upatikanaji wa ajira zenye staha na ushiriki wa vijana na wanawake kwenye…

Kumbilamoto awashauri wafanyabiashara kutumia mitandao ili kukuza biashara

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Omar Kumbilamoto amewaasa wafanyabiashara kufanya biashara kwa kutumia mitandao ikiwa na lengo kukuza biashara zao. Ameyasema hayo leo Mei 2, 2024, alipoakizindua duka la simu…

Lameck Lawi afutiwa kadi nyekundu aliyopewa dhidi ya Yanga

Na Isri Mohamed Beki wa Coastal Union Lameck Lawi amefutiwa adhabu ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa na mwamuzi wa mchezo dhidi ya Yanga Sc baada ya kuthibitika kuwa mwamuzi huyo wa kati pamoja na mwamuzi msaidizi namba mbili kushindwa kutafsiri vyema…

SMZ yatenga bilioni 34 posho ya nauli kwa wafanyakazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa SMZ wataongezewa posho ya shilingi 50,000 ya nauli ili kuleta ufanisi katika kazi na kurahisisha masuala ya usafiri kwa…

Waziri Mkuu awataka wakandarasi miradi ya umwagiliaji kuzingatia ubora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya maji kuhakikisha waaitekelza kwa weledi na ubora wa hali ya Kuu. Majaliwa ameyasema hayo jana katika hafla ya utiaji saini mikataba…