Year: 2024
Prof. Mkumbo: Wananchi wanataka suala la afya lipewe kipaumbele
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema baadhi ya wananchi waliohojiwa na tume inayotayarisha Dira ya Taifa 2050 wametaka suala la kuboresha huduma za afya liwe kipaumbele….
Waziri Ummy: Sekta ya Afya izingatiwe katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema sekta ya afya ni amesema Sekta hiyo ni nyeti na kwa unyeti wake lazima kuzingatiwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Ameyasema hayo leo Julai 06,…
Waziri Kijaji ahimiza watendaji ofisi hiyo kuchapa kazi kwa bidii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amehimiza watendaji wa Ofisi hiyo kuendelea kuchapa kazi kwa bidii ili kufikia malengo yaliyowekwa katika hifadhi endelevu ya…
JKCI yatoa huduma mpya maonesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimsikiliza mtaalamu wa kutumia kifaa cha DOZEE kutoka kampuni ya Sakaar Healthtech Limited Yusuph Abdallah aliyekuwa akimuelezea namna kifaa maalumu kijulikanacho kwa jina la DOZEE kinachotumika kufuatilia maendeleo…
TANROADS Geita yatekeleza maagizo ya Waziri Bashungwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetekeleza maelekezo ya Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kwa kukamilisha Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina wa Barabara ya Ushirombo – Nyikonga – Katoro (58km). Kipande cha Nikonga – Kashelo…
GCLA yawashauri wananchi kutembelea banda lao Sabasaba
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewataka wananchi kutembelea banda lao katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) kujionea shughuli mbalimbali wanazofanya ili kujifunza kuhusu masuala ya kemikali….