JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Kiswahili kiwe lugha rasmi ya saba ya Umoja wa Mataifa

Na Richard Mtambi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Maadhimisho ya Tatu ya Siku ya Kiswahili Duniani 2024, yalifanyika Julai 3, 2024 nchini Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na duniani kote lugha ya Kiswahili inakozungumzwa. Lengo la Maadhimisho haya ni kuitikia wito wa…

Ujenzi Daraja la Berega wakamilika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), imekamilisha ujenzi wa daraja la Berega lililopo Barabara ya Berega – Dumbalume lenye urefu wa meta 140 na upana meta 11 katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa,…

‘Tabora jitokezeni uboreshaji daftari’

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa wito kwa wananchi na wapiga kura wa mkoa wa Tabora kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika kwenye mikoa hiyo kuanzia…

Tujenge matajiri, kodi zitakuja zenyewe

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita nimeandika kuhusu mfumo wa utozaji kodi. Nimeeleza utitiri wa kodi na utaratibu unaotumika kuzitoza, ambapo wengi wa wanaotoza kodi hawajawahi kufanya hata biashara ya kuuza kuku, hivyo kufahamu ugumu wa kulipa huo…

Dk Mpango aipongeza Wizara ya Nishati kwa usimamizi mzuri wa miradi ya nishati

📌 Ampongeza Dkt. Biteko kwa kuiongoza vyema Wizara na TANESCO kwa utekelezaji wa miradi 📌 Akagua vituo vya kupoza umeme Nguruka na Kidahwe 📌 Aagiza ifikapo Septemba Kigoma iwe imeingia kwenye Gridi ya Taifa 📌 Kapinga asema Wizara haitakuwa kikwazo…