JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Shaka ashikwa na butwaa, mwenyekiti adaiwa kuuza mlima wa ekari 1128 kwa milioni 20

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilosa Jeshi la Polisi wilayani Kilosa limewatia mbaroni watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Msowero A, Petro Sanga (Paroko) mwenzake, Awadh Ngajime kwa tuhuma za kuuza eneo la mlima, mali ya kijiji cha Msowero wilayani…

Serikali yaipa TANROADS bil.6.5/- kukabiliana na athari za mvua za El Nino Rukwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka kiasi cha shilingi bilioni 6.5 kwa ajili ya matengenezo ya dharura ya kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja ambayo yameharika kutokana na…

Rais Samia aagiza huduma za dharura maeneo yaliyoathiriwa na kimbunga Hidaya

RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga Hidaya. Hayo yamesemwa leo (Mei 6, 2024) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye kikao cha dharura cha Kamati ya Maafa Kitaifa alichokiitisha kupokea…

Serikali kuwakopesha wajasiriamali bilioni 18.5/- kupitia NMB

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 18.5 kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia Benki ya NMB. Makubaliano ya utaratibu wa ufadhili huo yalitiwa saini leo jijini…