Year: 2024
Tanzania yaendelea vizuri usafirishaji kemikali za sumu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imesema Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika usafirishaji wa kemikali mbalimbali za sumu ikiwemo ya Sianidi inayotumika kuchenjulia dhahabu migodini katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yamesemwa…
Watu 47 wanaswa vitendo vya kihalifu
JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewakamata watu 47 kwa kipindi cha mwezi Oktoba 2024 kwa tuhuma mbalimbali za kujihusisha na vitendo vya kihalifu. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Kamanda Kanda Maalum ya…
Serikali kulipa madeni baada ya uhakiki na upatikanaji wa fedha
Na Asia Singano na Peter Haule, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa inaendelea na utaratibu wa ulipaji wa madeni mbalimbali ikiwemo madeni ya wazabuni wa chakula waliotoa huduma katika shule mbalimbali kwa kuzingatia upatikanaji wa mapato baada ya Mkaguzi wa Ndani…
NMB yazindua Programu Endelevu ya Fedha ‘NMB Nondo za Pesa’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuongeza uelewa wa masuala ya fedha kwa maendeleo na ukuaji kiuchumi kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla, Benki ya NMB imezindua Programu Endelevu ya Elimu ya Fedha iitwayo NMB Nondo…
Madaktari bingwa zaidi ya 60 kutoa huduma za matibabu Mwanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Zaidi ya Madaktari bingwa 60 wameweka kambi Jijini Mwanza kwaajili ya kutoa huduma mbalimbali za kimatibabu kwa wananchi pamoja na kuwajengea uwezo watoa huduma katika hospitali zao ili waweze kuendelea kutoa huduma zilizo bora. Hayo…
Dk Biteko : Jenerali Musuguri ameacha alama ya uzalendo na kujitoa kwa ajili ya taifa
*Serikali itaenzi na kuthamini mchango wake *Asema Jenerali Musuguri alijitolea kuhakikisha Tanzania inabaki na amani na usalama *Asema alikuwa mstari wa mbele kuliokoa Taifa *Aiasa jamii kuacha alama katika maisha ya kila siku *Dkt. Biteko aongoza mamia ya watu…