JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Bashungwa: Naweza kufukuza timu yote inayoendelea kurejesha mawasiliano ya barabara Dar – Lindi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema hatasita kubadilisha timu ya Wataalam na Mkandarasi wanaoendelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Dar es Salaam- Lindi katika eneo la Nangurukuru kutokana na kasi ndogo ya…

Tanzania Top rekodi ; Rostam ameweka alama kubwa nchini

Nà Mwandishi Wetu,JamuhuriMedia, Dar ea Salaam UONGOZI wa Tanzania Top Record (TTR), umebainisha kuwa wamejipanga kutembea kilometa moja pekupeku ikiwa ni ishara ya kuenzi viongozi na watu mbalimbali ambao wamepambania taifa na kuacha alama hapa nchini. Hayo yamebainishwa Aprili 7,…

Bilioni 1.1/- za TANROADS zarejesha mawasiliano ya barabara, madaraja El Nino Katavi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Katavi imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya kazi ya matengenezo na kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja yaliyosombwa na maji ya mafuriko ya mvua kubwa za El-nino zilizonyesha…

Kiingereza kufundishwa kuanzia darasa la kwanza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Chato Serikali imeamua kuboresha uelewa wa somo la Kiingereza kuanzia shule za msingi darasa la kwanza badala ya kuanzia darasa la tatu kama hapo awali ili kuwajengea uwezo wanafunzi hao ingali mapema kuelewa somo hilo kwa…

Bajeti ya matengenezo na ukarabati wa barabara, madaraja Dodoma yaongezeka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Bajeti ya matengenezo na ukarabati wa barabara na madaraja kwa mkoa wa Dodoma imeongezeka kutoka Shilingi bilioni 12.7 mwaka 2020/2021 hadi kufikia Shilingi bilioni 66. 2 mwaka 2023/24. Hayo yameelezwa na Meneja wa TARURA mkoa…

Dugange : Udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano bado ni tatizo

OR-TAMISEMI Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Festo Dugange amesema takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano bado ni kikubwa ambapo kwa mkoa wa Kigoma ni asilimia…