Year: 2024
Wananchi wafurahia huduma za Mama Samia Legal Aid Campaign Sabasaba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wananchi wanaojitokeza katika banda la Mama Samia Legal Aid Campaign katika maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaama (DITF), kupata msaada wa kisheria wamefurahia huduma hiyo huku wakieleza itasaidia kukuza…
Watoto 300 wafaidika na matibabu ya moyo kupitia CRDB Marathon
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela akikabidhi bendera za nchi za Tanzania, Burundi na Congo kuashiria uzinduzi wa mbio za CRDB msimu wa tano zitakazofanyika katika nchi hizo mwezi wa nane mwaka huu kwaajili ya kuchangia matibabu ya…
Dk Mpango aitaka Wizara ya Mambo ya Ndani kuharakisha upatikanaji vitambulisho vya Taifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema tayari maelekezo yametolewa kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhakikisha inaharakisha upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa ili kuondoa adha wanayopitia wananchi wa Kigoma na…
Aziz Ki bado yupo sana kwa wananchi
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BAADA ya gumzo la muda mrefu kila mmoja kiazungumza lake, hatimaye Klabu ya Yanga leo Julai 10, 2024 imethibitisha rasmi kuwa mchezaji wao Aziz Ki bado ataendelea kusalia klabuni kwako. Baada tu ya…
Chama cha waandishi wa habari Pwani, chawashika mkono Shalom
CHAMA Cha Waandishi wa Habari Wanawake Mkoa wa Pwani (PWMO), kimetoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu (Shalom) kilichopo Msangani, Halmashauri ya Mji Kibaha. Misaada hiyo ni pamoja na mchele, unga, sukari, mafuta…
‘Legezeni gharama wananchi wapikie umeme’
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) sanjari na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kulegeza bei ya umeme, ili mwananchi asiogope kupikia umeme badala ya nishati nyingine. Akiwa katika ziara yake kutembelea…