JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

UDOM yawakaribisha wadau kushirikiana kutengeneza tiba lishe

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Lughano Kusiluka, ametoa wito kwa wadau mbalimbali kushirikiana na chuo hicho ili kuweza kutengeneza tiba lishe zitakazosaidia kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Aidha Profesa Kusiluka…

Dkt. Mpango asisitiza elimu kuepuka maradhi

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesisitiza umuhimu wa wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii kuwasaidia wananchi kwa kutoa elimu kuepukana na maradhi mbalimbali. Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea Zahanati ya Kijiji cha Kasumo akiwa wilayani Buhigwe mkoani…

Jela miaka sita kwa kumtukana rais wa Uganda

Mahakama nchini Uganda imemhukumu kijana wa miaka 24 kifungo cha miaka sita jela kwa kumtusi rais na familia yake kupitia video yake iliyowekwa kwenye TikTok. Edward Awebwa alishtakiwa kwa matamshi ya chuki na kueneza taarifa “za kupotosha na zenye nia…

Rais wa Sudan Kusini amfukuza kazi waziri wa fedha

Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemfukuza kazi Waziri wa Fedha Awow Daniel Chuong ambae amehudumu katika nafasi hiyo kwa kipindi cha miezi minne, huku sababu za uwamuzi huo hazikuwekwa hadharani. Katika miaka ya hivi karibuni, Uchumi wa Sudan Kusini…

Bandari bubu zatajwa mihadarati kuingia Z’bar

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar imesema uchunguzi wao umeonesha dawa nyingi za kulevya zinazoingizwa visiwani humo zinatoka Tanzania Bara kupitia bandari bubu. Kamishna Mkuu wa mamlaka hiyo, Burhani Zuberi Nassor amesema hayo jana…

ACT -Wazalendo wataka kiswahili iwe lugha ya kufundishia

CHAMA cha ACT- Wazalendo kimeishauri serikali kubadili sera na kukifanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na kujifunzia kwa ngazi zote za elimu, kisha kingereza na lugha zingine zifundishwe kama masomo. Waziri Kivuli wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa chama hicho,…