JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

WHO: Homa ya nyani bado ni tishio la kiafya ulimwenguni

Shirika la Afya ulimwenguni, WHO limetahadharisha kwamba maradhi ya homa ya nyani bado ni kitisho cha kiafya kote ulimwenguni bila kujali mipaka. huku likielezea wasiwasi wake kwa kuangazia hasa mlipuko wa aina mpya na mbaya zaidi ya virusi vya homa…

Rais Ruto avunja Baraza lake la mawaziri

Rais wa Kenya William Ruto, amelivunja baraza lake la mawaziri na kumfuta kazi mwanasheria mkuu wa serikali, ikiwa ni sehemu ya hatua anazochukua kufuatia maandamano makubwa ya vijana wa kizazi cha Gen Z. Akihutubia taifa kupitia televisheni nje ya Ikulu…

Tume ya Madini kuboresha vifungashio vya madini ili kudhibiti utoroshaji

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya Madini imesema ipo kwenye mchakato wa kuboresha vifungashio vya madini katika masoko ya madini nchi nzima ikiwa ni mkakati wa kuendelea kudhibiti utoroshaji wa madini. Hayo yamesemwa na Mteknolojia Maabara kutoka…

NIT yawataka vijana kuchangamkia fursa masomo ya kimkakati

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chuo cha Taifa Usafirishaji (NIT), kimetoa wito kwa vijana waliohitimu kidato cha nne kuchangamkia fursa ya kuomba kujiunga kozi za kimkakati za Chuo ambazo katika mwaka wa masomo wa 2024/2025 zimepata upendeleo wa…

Wakala wa Forodha mbaroni kwa tuhuma kumuua rafiki yake na kumwibia milioni 61/-

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia Dar es Salaam Mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la Mussa Khamis Bakari maarufu ‘buda ‘ (30) , Wakala wa Forodha, mkazi wa Temeke anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya Abdallah Twahir Selemani…