JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wiki ya Tathmini na Ufuatiliaji itumike kuongeza ufanisi utendaji shughuli za Serikali -Dkt. Yonazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema Wiki ya Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza itumike katika kuongeza Ufanisi na Utendaji wa Shughuli za Serikali ili kuhakikisha kunakuwa na matokeo chanya…

Biteko : Wekeza katika utafiti kuchochea maendeleo

📌Rais Samia atunukiwa tuzo kwa mchango wake Sekta ya Afya 📌NIMR yapongezwa kwa ushawishi wa utafiti kimataifa 📌Serikali yatoa kipaumbele tafiti za kisayansi 📌Vituo vya utafiti vyaaswa kushirikiana kuboresha utafiti Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati…

Rais Samia aikomboa Afrika Nishati Safi

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Paris, Ufaransa Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amelikomboa Bara la Afrika na kuokoa maisha wanawake wanaopata magonjwa ya mfumo wa hewa, kansa au kufariki dunia kwa sumu itokanayo na nishati safi, bila kusahau watoto…

Wananchi Iringa watakiwa kulinda miundombinu ya barabara kwa matumizi endelevu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Wananchi mkoani Iringa wamehimizwa kuilinda na kuitunza vema miundombinu ya barabara ili iwe endelevu na wanufaike nazo kwa muda mrefu kwa maendeleo yao na Taifa kwa ujumla. Rai hiyo imetolewa na Meneja wa TARURA mkoa…

SMZ kushirikiana na GEL kupeleka wanafunzi nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar SMZ imesema itaendesha msako na kuzifutia usajili wa wakala wa elimu ya nje ambao wanafanya kazi zao kwa ubabaishaji na kuipongeza Global Education Link GEL kwa mchango mkubwa inaotoa kwenye sekta…