JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Sisi ACT- Wazalendo tumeichambua bajeti Wizara ya Afya, bado kuna tatizo la ufinyu wa bajeti – Dk Sanga

Waziri wa Afya Ummy Ali Mwalimu (Mb.), amewasilisha Bungeni mpango wa Wizara na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25 pamoja na maeneo ya kipaumbele ambayo wizara itajielekeza nayo kwa mwaka 2024 -2025. Sisi, ACT Wazalendo kupitia…

Bondia Sherif Lawal afariki baada ya kupigwa ngumi nzito

Bondia Sherif Lawal (29) amefariki dunia akiwa hospitali akipatiwa matibabu baada ya kupigwa ngumi iliyomuangusha chini katika pambano lake dhidi ya bondia kutoka Ureno Malam Varela, lililochezwa kwenye ukumbi wa Harrow Leisure Center siku ya Jumapili. Katika pambano hilo la…

Watoto 2, 180, 313 wapata chanjo ya Penta3 nchini

Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imefanikisha kutoa chanjo ya Penta3 kwa watoto 2,245,722 ndani ya kipindi cha mwezi Julai 2023 hadi Machi 2024. Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema hayo Bungeni jijini Dodoma Mei 13,…

Daftari la wapiga kura kuanza kuboreshwa Julai mwaka huu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Uzinduzi wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utafanyika tarehe 01 Julai, 2024 mkoani Kigoma na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa…

Uwekezaji Bandari Kavu Kwala unavyochangia kuimarisha mapato TPA, kuongeza ushindani

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Pwani Moja ya changamoto kubwa zilizokuwa zinaikabili Bandari ya Dar es Salaam kuanzia miaka ya 2008 ni msongamano wa meli uliotokana na mrundikano wa Shehena katika Bandari ya Dar es salaam. Plasduce Mbossa ni Mkurugenzi Mkuu…