Year: 2024
Katavi kuwa kanda ya ununuzi wa mazao
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Hassan ameutangaza mkoa wa Katavi kuwa kanda maalum ya ununuzi wa mazao na uhifadhi wa nafaka ya chakula. Ametoa kauli mara baada ya kuzindua vihenge vya kisasa, na ghala za kuhifadhia…
Biden ataka Wamarekani watulize joto la kisiasa
Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu ametoa wito kwa raia wa nchi hiyo kutuliza joto la kisiasa kufuatia jaribio la kumuua hasimu wake katika uchaguzi ujao Donald Trump huko Pennsylvania Jumamosi. Akizungumza na taifa kupitia afisi ya Oval kwenye ikulu…
Miili ya watu 8 yagunduliwa kwenye dampo la takataka Nairobi
Jeshi la polisi nchini Kenya limesema kuwa miili ya wanawake 8 iliyokuwa kwenye dampo katika eneo moja la makazi duni imepatikana jijini Nairobi. Jeshi hilo limeongeza kuwa kwa sasa linachunguza ili kupata uhusiano kati ya tukio hilo na masuala ya…
Kanisa Katoliki lalaani shambulio dhidi ya Trump
Viongozi mbalimbali duniani wameendela kulaani jaribio la mauaji dhidi ya rais wa zamani wa Marekani Donald Trump. Trump alishambuliwa kwa risasi Jumamosi alipokuwa kwenye kampeni ya uchaguzi huko huko Pennsylvania. Baada ya kauli za viongozi wa Umoja wa Mataifa, Umoja…
NIRC yawataka wakandarasi kusaidia jamii maeneo yenye miradi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi MKURUGENZI Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliji (NIRC), Raymond Mndolwa, amewataka Wakandarasi wanaojenga miundombinu ya umwagiliaji kuhakikisha wanasaidia jamii hususani maeneo yenye miradi. Mndolwa amesema hayo katika ziara ya ukaguzi na ufuatiliaji wa ujenzi wa…
DC chunguza malalamiko ya wajawazito-Dkt Mpango
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu kutumia vyombo vya ulinzi na usalama alivyonavyo kuchunguza malalamiko ya akina mama wajawazito kuombwa rushwa katika Kituo cha Afya Makere kilichopo Halmashauri ya Mji wa…