Year: 2024
Polisi 200 zaidi wa Kenya waelekea Haiti
Maafisa wengine 200 wa Polisi wa Kenya waliondoka Jumatatu usiku kuelekea Haiti, chini ya mpango unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa unaolenga kumaliza ghasia za magenge ya wahalifu katika taifa hilo la Caribbean. Maafisa wengine 200 wa Polisi wa Kenya…
Arusha yaibuka Kinara katika raundi ya tatu ya mashindano ya Gofu ya Lina PG Tour
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkoa wa Arusha umeibuka kinara wa jumla wa raundi ya tatu ya mashindano ya gofu ya Lina PG Tour baada ya wawakilishi wake Nuru Mollel kushika nafasi ya kwanza na Elisante Lemeris kushika…
Mwenyekiti BAWACHA Mara akemea rushwa ndani ya chama
Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Tarime Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Mkoa wa Mara (BAWACHA), Veronica Irecho amekemea vikali vitendo vya rushwa vinavyojitokeza ndani ya Chama cha Demokakrasia na maendeleo (CHADEMA) Akizungumza katika kikao cha 7 tangu aanze ziara ya…
Kaya 400,000 kuondolewa TASAF baada ya kuboreka kimaisha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), umesema upo katika hatua za mwisho za kuondoa kaya 400,000 ambazo zilikuwa kwenye mpango wa kunusuru kaya maskini baada ya kuweza kuboreka kimaisha. Mziray amesema hayo wakati akizungumza na…
Utende,Chole kunufaika mradi wa umeme utakaopitisha nyaya chini ya bahari
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Wakazi wa kisiwa cha Utende na Chole, wilayani Mafia,Mkoani Pwani wanakwenda kunufaika na mradi wa umeme wenye msongo mkubwa wa KV 11 ,kuvuta nguzo 300 na kuzamisha waya ndani ya maji kufikisha katika visiwa hivyo….
Muuaji wa wanawake 42 Kenya akamatwa akiwa klabu
Jeshi la Polisi nchini Kenya limetangaza kumkamata kijana Collins Jumaisi Khalusha (33) ambaye amekiri kuwaua Wanawake 42, baada ya kugunduliwa kwa miili tisa iliyokatwakatwa na kutupwa jalalani pembezoni mwa Mji mkuu wa Nairobi. kwa mujibu wa mkurugenzi wa makosa ya…