JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Canada yatenga bilioni 38 kutekeleza mradi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mkuranga SERIKALI ya Canada kupitia ‘CARE International Canada’ imetenga takribani CAD 20 milioni (Shilingi Bilioni 38) zitakazo tekeleza Mradi wa “Her Resilience, Our Planet Project”. Miradi huo unalenga kuongeza ushiriki wa vijana na wanawake katika shughuli…

Burundi kuendelea kuwaleta wagonjwa wa moyo kutibiwa JKCI

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wataalamu wa afya kutoka nchini Burundi wametembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwaajili ya kuona namna ya kushirikiana katika matibabu ya moyo. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara hiyo Mkurugenzi Mtendaji…

Mwenyekiti TEF Balile achaguliwa kuwa rais wa EAES

Jumuiya ya Wahariri wa Afrika Mashariki (EAES), imemchagua Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), kuwa rais wa Jumuiya kwa kipindi cha mwaka 2024 – 2025. Pia imemchagua Fitihawok Yewondwossn, kutoka Jukwaa la Wahariri Ethiopia kuwa Makamu wa rais kwa…

Mradi jumuishi wa kuhifadhi misitu na kuboresha mnyororo wa thamani ya mkaa wazinduliwa Bagamoyo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo MKOA wa Pwani umekuwa sehemu ya kuchagiza mabadiliko hasi ya tabia nchi , pamoja na uharibifu wa mazingira, kutokana na uwepo wa soko kubwa la mkaa unaotumika zaidi Jiji la Dar es Salaam. Hayo aliyaeleza…

Sekta ya nyuki bado inakabiliwa na changamoto zinazotishia uendelevu wake – RC Dodoma

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkoa wa Dodoma una zaidi ya mizinga 18,000 ya nyuki yenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya kilo 135,000 za asali kiwango ambacho kinatajwa kuwa bado ni kidogo ikilinganishwa na fursa za ufugaji nyuki zilizopo mbapo zaidi ya…