JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Hapi: Umoja na utendaji nguzo ya CCM kushika dola Uchaguzi 2024/2025

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani KATIBU Mkuu Jumuiya ya Wazazi Taifa(MNEC) Ally Hapi ,ametoa rai kwa Chama na Jumuiya kujenga umoja ili kukiimarisha chama wakati huu wa kuelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu ,lengo likiwa…

Awataka wakandarasi mradi wa umwagiliaji skimu ya Mkombozi Iringa kuongeza kasi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa amewataka wakandarasi wanaojenga mradi wa Umwagiliaji Skimu ya Mkombazi mkoani Iringa kuongeza kasi ujenzi wa miradi hiyo ili kuhakikisha uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali unanufaisha wakulima…

Waziri Jafo atembelea CBE na kutoa maagizo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo salaam amekitaka Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kuwekeza katika ufundishaji wa programu za biashara ya elektroniki zitakazowawezesha vijana kufanya biashara kimataifa. Alitoa rai hiyo…

Naibu Katibu Mkuu CCM aanza ziara Shinyanga

Naibu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kuwasili mkoani hapo kwa ziara ya chama ya siku saba leo, tarehe 6 Septemba 2024….

Waziri Mkuu atoa maelekezo uendeshaji mradi wa SGR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa na miundombinu inaimarishwa ili mradi huo uweze kudumu kwa muda mrefu. Amesema katika mwaka wa fedha 2024/2025,…