JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Moshi wa jenereta wawaua wanafunzi wa Nigeria

Takriban wanafunzi saba wa chuo kikuu wamefariki baada ya kuvuta moshi kutoka kwa jenereta katika studio ya muziki katika jimbo la Bayelsa lenye utajiri wa mafuta nchini Nigeria. Vijana hao wanasemekana kufanya kazi hadi Jumatatu usiku na kulala kwenye studio…

RC Simiyu akerwa jenereta kushindwa kutumika kwa ukosefu wa chumvi, mkaa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda ametoa siku tano kwa Mkuu wa Wilaya ya Busega, Faidha Salim pamoja na Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Michael Kachoma kuhakikisha jenereta ya Hospitali ya Wilaya ya Busega…

Serikali yajenga daraja Ruhembe

Wananchi wa Kata za Ruhembe, Kidodi, Uwembe, Vidunda, Mikumi na Kilolo waliokuwa wakiteseka kwa muda mrefu kusafiri umbali mrefu au kuzunguka kwenye mashamba ya miwa kuzifikia huduma za kijamii kwa sasa wanaondokana na adha hiyo baada ya serikali kujenga daraja…

Majaliwa : Vyombo vya habari vijiepushe na habari za uchochezi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa sekta ya habari ziendelee kusimamia vyombo vya habari vizingatie maadili na kujiepusha na uchapishaji wa taarifa na picha zinazochochea uvunjaji wa maadili, mila na desturi za Kitanzania. Pia, Waziri Mkuu…

Serikali kuendelea kutoa elimu ya kanuni za biashara ya kaboni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema itaendelea kujenga uelewa kwa wadau mbalimbali kuhusu Kanuni na Miongozo inayosimamia Biashara ya Kaboni. Hayo yamebainishwa leo Jumanne (Mei 21, 2024) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),…

Waziri Silaa : Urasimishaji makazi kuboreshwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amesema zoezi la urasimishaji linaloendelea maeneo mbalimbali nchini litaboreshwa ili kuleta ufanisi. Silaa amesema hayo tarehe 21 Mei 2024 wakati wa semina kwa Wajumbe wa…