JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Tanzania, Msumbiji kuanzisha Jukwaa la Pamoja la Biashara

Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji amekutana na Silvino Augusto José Moreno, Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Msumbiji kwenye Ofisi ya Wizara hiyo Jijini Maputo. Katika mkutano huo, Viongozi hao wawili…

Tanzania kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza la Usalama na Amani Afrika

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeaminiwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika ambapo katika maadhimisho hayo ya miaka 20 tanayotarajiwa kufanyika Mei 25,2024 jijini Dar es Salaam…

RC Chalamila awataka wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari na kutoa risiti

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari bila shuruti pamoja na kutoa risiti za EFD. Vilevile, Chalamila amewaonya wafanyabiashara wanaotishia kugoma pale ambapo wanatakiwa kulipa…

Watu 85 wauwawa kufuatia mapigano makali Sudan

Shirika la Madaktari wasio na mipaka la MSF limesema takriban watu 85 wamefariki katika hospitali moja kwenye mji wa El-Fasher huko Darfur tangu mapigano yalipozuka kati ya pande zinazozozana nchini Sudan Mei 10. Mkuu wa mpango wa dharura wa shirika…

Uingereza, Marekani hawaitambui taifa la Palestina

Takriban nchi 140 zimelitambua taifa la Palestina, kulingana na barua ya hivi majuzi kwa Umoja wa Mataifa. Nchi hizo zinajumuisha wanachama wa Kundi la nchi 22 za Kiarabu katika Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Nchi 57 za Ushirikiano wa Kiislamu…

Kiongozi mkuu wa Iran aongoza ibada ya mazishi ya Raisi

Kiongozi mkuu wa Iran ameongoza mazishi ya marehemu rais wa nchi hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje na wengine waliofariki katika ajali ya helikopta siku ya Jumapili. Ayatullah Ali Khamenei aliongoza sala ya mazishi katika Chuo Kikuu cha Tehran. Rais…