JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Serikali yajipanga usambazaji umeme kwa kuweka mazingira wezeshi Mbinga

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia, Mbinga Serikali kupitia Wizara ya Nishati imejipanga katika kuweka mazingira wezeshi ya utendaji kazi kwa kuhakikisha kuwa huduma za umeme zinaenda vizuri kama zilivyopangwa na kupeleka magari ya kubebea nguzo kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo Wilaya ya Mbinga…

Katibu Tawala Songea atoa maagizo kwa kwa viongozi wa vijiji, kata

Na Cresensia Kapinga, JakhuriMedia,Madaba KATIBU Tawala wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mtela Mwampamba amewaagiza viongozi wa vijiji na kata kusimamia sheria ndogo ndogo zilizowekwa ili waweze kuepusha majanga ya uharibifu wa mazingira ikiwemo uchomaji moto misitu kinyume na taratibu…

Mageuzi yalinusuru Shirika la Posta Tanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amelizungumzia Shirika la Posta Tanzania (TPC) kama taasisi ya umma kongwe na yenye matawi nchi nzima na kulipongeza kwa ubunifu…

Waziri Bashe atangaza neema kilimo cha umwagiliaji Katavi

Waziri Kilimo Hussein Bashe, ametangaza neema kwa wakulima wa Katavi na kusisitiza kuwa Serikali imedhamiria kuendelea kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji. Amesema ahadi alizozitoa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan mkoani humo ni lazima zitekelezeke hivyo serikali inaendelea na uwekezaji wa…

Waadhimisha Siku ya Nelson Mandela Dar

Na Lookman Miraji,JamhuriMedia, Dar es Salaam Kila Julai 18 ya kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela ikiwa ni kuenzi ya aliyoyafanya katika jamii ya Waafrika Kusini, Waafrika na Dunia kwa ujumla. Kupitia kikao cha Jumuiya ya…

Trump aridhia kuwa mgombea urais wa Republican

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amekubali rasmi uteuzi wa kuwania urais kwa tiketi ya Chama cha Republican katika mkutano mkuu uliotawaliwa zaidi na jaribio la mauaji dhidi yake. Katika hotuba yake ya dakika 90, Trump ametoa ahadi kemkem…