Year: 2024
Meli Vita ya Kichina ya matibabu yahudumu watu zaidi ya 5,000
Na WAF – Dar Es Salaam Melivita ya matibabu iitwayo ‘Peace Ark’ ya Jeshi la Ukombozi la watu wa China imetoa matibabu kwa wagonjwa zaidi ya elfu 5,000 kwa siku Tano baada ya kukita nanga katika bandari ya Dar Es…
Biden ajitoa kwenye kinyang’anyiro cha urais Marekani
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kusitisha kampeni za kuwania muhula wa pili wa urais na kusema amechukua uamuzi huo ”kwa maslahi ya chama chake na nchi.” Uamuzi wa Biden kujitoa kwenye mbio za urais umekuja ikiwa imesalia miezi minne…
Kailima : Wengi wajitokeza kuboresha, kujiandikisha Daftari la Kudumua la Wapigakura
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Zoezi la Uboreshaji la Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora limeingia siku ya pili baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kulizindua…
‘Dira ya Taifa ya Maendeleo ni picha, maono’
MWANZA: Dira ya Taifa ya Maendeleo ni picha na maono kuhusu mustakabali tarajiwa wa maendeleo ya nchi kwa siku za usoni. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema hayo leo wakati akifungua Kongamano la Kwanza la…
Afrika Mashariki Kukabiliwa na Malaria Sugu,
Wanasayansi duniani wameziomba Mamlaka za Afya barani Afrika kuchukua tahadhari dhidi ya malaria sugu ambayo inadaiwa kuwa mamilioni ya watu wako hatarini kuambukizwa. Taarifa zinasema kuwa viwango vya dawa vimeonekana kutofanya kazi katika baadhi ya maeneo kutoka chini ya asilimia…